Mtukuze Mungu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

YouTube video Natamani kusema na wewe hapo ulipo(I desire to speak with you where you are)Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia(My passion is to speak with you, (If you can hear me) (Repeat) Vile ulivyo, ni mpango wa Mungu uwepo (The way you are is by God’s plan)Ana makusudi na wewe, ndio maana upo … Read more

Shuka Tukuone Mungu Wetu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

[Sung in Swahili] Mungu asiyeona kushindwa (Unconquerable God) Kwenye tatizo/shida lako (Even in your troubles) Ili utukufu wake, abaki kuwa Mungu (So that His Glory, he remains being God) (Repeat) Na kusema siwezi, siwezi tena kusonga (When you say, “I cannot even move”) Ndi’ kuwa Mungu anashuka kukushika mkono wako (That is when God descends … Read more

Tunaye Mungu Anayejibu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Tunaye huyu Mungu tunaye Tunaye anayejibu maombi yetu Walijua tuna Mungu tulipopita kwenye majaribu Hayo mawazo yao Walisema tuna imani huku malipo yatusonga sana Hayo mawazo yao Walijua tuna Mungu tulipopita … Read more

Nina Haja Na Wewe Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana Baba peke yangu mimi sitoweza Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu Baba peke yangu mimi sitoweza Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana Baba peke yangu mimi sitoweza Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu Baba peke yangu mimi sitoweza Wengine ni wa karibu yangu Eeh baba … Read more

Utukufu Ni Wako Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Acha mimi nikushukuru wewe Mungu Uliyenitunza toka utoto wangu Ukanichagua tumboni mwa mama Umeniweka kwenye kusudi lako nisimame Acha mimi nikushukuru wewe Mungu Uliyenitunza toka utoto wangu Ukanichagua tumboni mwa mama Umeniweka kwenye kusudi lako nisimame Mimi ni nani kwa yote uliyonitendea? Nimekulipa nini kwa uhai huu nilio nao Mimi ni nani kwa yote uliyonitendea? … Read more

Washangaze wajue Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Walijua nitabaki Kama nilivyo Walidhani sitoweza kusimama Tena (2x) Yalikua Ni maneno yyao hao wanadamu Ilikua Ni mipango yao hao wanadamu Yalikua Ni maneno yao hao wanadamu Yalikua Ni mipango yao hao wanadamu Kuongea kwangu Wao wakanihukumu Ile vaa yangu Wao wakanihukumu Na Ile tembea yangu Wao wakanihukumu Makosa yangu Ni Kweli Wao wakanihukumu (X2) … Read more

Nipeni Mda Kwanza Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Nipeni mda kwanza ili niseme naye Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Nipeni mda kwanza ili niseme naye Majibu ya dakitari yamesema siwezi kupona Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Majibu kazini kwangu yamesema sina sifa hizo Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu Majibu ye dakitari yamesema siwezi kupona Nipeni mda kwanza nimtafute … Read more

Wakati Wangu Ni Lini Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Ninajiuliza sana Ninajiuliza kila siku Wakati wangu ni lini? Wakati wangu ni lini? Ninajiuliza sana Ninajiuliza kila siku Wakati wangu ni lini? Wakati wangu ni lini? Eeh Wakati wa kukutana na wewe Wakati wa kuona mkono wako Wakati wa kuona baraka zangu Wakati wa kuinuliwa na mimi Wakati wangu ni lini? Wakati wangu ni lini? … Read more

Mimi Ni Nani Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Mimi ni nani Mungu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Yesu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Mungu wangu Mimi ni nani? Mimi ni nani Yesu wangu Mimi ni nani? Umenipa upendeleo Baba Mimi ni nani? Umenipa upendeleo Baba Mimi ni nani? Kati ya wale wengi walikuwa wa kuomba Mimi ni nani umenikumbuka … Read more

Herode Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Herode mfalme wa Waisraeli Herode mfalme wa Waisraeli Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi Alisikia habari kutoka kwa mama wajuzi Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto Yakwamba katika hori amezaliwa mtoto Kwa jina lake wanamuita Emmanueli Kwa jina lake wanamuita Emmanueli, yeah Akawatuma wapelelezi, Herode Akaagiza jeshi lake liende Jerusalemu Akawatuma wapelelezi, Herode Akaagiza jeshi lake … Read more

Mtukuze Mungu Tu Lyrics – Sifaeli Mwabuka

Natamani kusema na wewe hapo ulipo Shauku yangu nizungumze na wewe Kama unanisikia Oooh natamani kusema na wewe hapo ulipo Shauku yangu nizungumze na wewe kama unanisikia Vile ulivyo ni mpango wa mungu uwepo Ana makusudi na wewe ndio maana upo leo Unavyojitazama hivyo ulivyo Ni mpango wa mungu kwako ndio maana uko hivyo Vile … Read more