Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics – Reuben Kigame and Sifa Voices

[Sung in Swahili – A Psalm] Bwana ni mchungaji wangu (The Lord is my Shepherd) Sitapungukiwa kitu (I shall not want) Hun’laza penye majani mabichi (He makes me lie down in green pastures) Hun’ongoza kwa maji matulivu (He leads me beside still waters) Hunihuisha nafsi yangu (He restores my soul) Hun’ongoza kwa njia za haki … Read more

Ameyweishe (Don’t Fear) Lyrics – Reuben Kigame And Sifa Voices

Chorus: Ameiyweishe ameyweishe Mi Chehovah koboten; Toretin akoripin Nomenin eunyi nebo tai 1. Mwae kamuktaindet kole (Our God has said) Anendet yaindet ng’ung’ (I am the Lord your Creator) Angenin eng’kainet ng’ung’ (I know you by your name) Ago inye Ko ii nenyu (And you are mine) Chorus 2. Ye ibune beek chachang’ (When you … Read more

Inuka Kenya Lyrics – Reuben Kigame And Sifa Voices

Verse 1: Kuna Mkono wa nguvu sana umetushikilia Kama si Mungu wetu Tungeangamia Si kwa nguvu Za majeshi yetu Si ujasiri wetu Tusisahau Kenya Kule tulikotoka Chorus: Inua wimbo mpya Wimbo wa shukurani Kenya usisahau Alikokutoa Bwana Verse 2: Inuka Kenya uangaze Mwanga wa Mungu wako Kwa maana mataifa yote Yanakutazamia Wakumbuke maskini wote Yatima … Read more

Lipo Tumaini Lyrics – Reuben Kigame and Sifa Voices

[In Swahili] 1. Najivika jezi Wasia kudondoa Kama Ayubu wa Uzi Kwa walotiwa doa Umeshakatwa mizizi Kisiki lala dongoni Lipo tumaini Kwa mti ulokatwa Maana ukikatwa Utachipuka tena 2. Wamekupa kisogo Wa karibu wendani Kote ni zogozogo Kunguni kitandani Hima moyo piga konde Macho kazia mbinguni Lipo tumaini Kwa mti ulokatwa Maana ukikatwa Utachipuka tena … Read more