Mwaminifu (Remix) Lyrics – Rozinah Mwakideu

Eeh Yahweh, eeh Yahweh Wewe ni Mungu mwaminifu Hubadiliki kamwe Eeh Yahweh, eeh Yahweh Wewe ni Mungu mwaminifu Hubadiliki kamwe Wewe sio mwanadamu Eti useme uwongo Au mwana wa mwanadamu Ubadilishe mawazo Ukisema jambo Baba, Unatenda Oooh Yahweh, eeh Nakuabudu, nakuinua Kwa uaminifu wako Kwa uaminifu wako Ahadi zako za milele Ooh Yahweh Yahweh Baba … Read more