Kama Mbaya, Mbaya Lyrics by Rose Muhando

[In Swahili] Kama mbaya mbaya (If It’s Bad, So Be It)Wacha iwe mbaya (Let it be bad)Tuliwatendea mema/wema (We did them good)Wakatulipa mabaya (But they repaid us with evil) (Repeat) Kama mbaya mbaya (If It’s Bad, So Be It)Wacha iwe mbaya (Let it be bad)Tuliwaona wabora (We saw them as better)Kumbe hawafai(But they are not … Read more

Hainidhuru Lyrics – Irene Robert Feat. Rose Muhando

[Sung in Swahili] Hainidhuru kama nasafiri kwenye bahari (I’m not harmed though I sail) Ya mawimbi kwani Yesu ni nahodha wangu (On stormy seas, for Jesus is my captain) Atanifikisha bandarini (He will guide me safely to the harbor) Japo misukosuko yaniandama (Though troubles follow me) Hainidhuru kwani nahodha yuko kwenye chombo (They do not … Read more

Ombi Langu (My Prayer) Lyrics – Rose Muhando

[Sung in Swahili] Hili ni ombi langu kwako, ee Mungu wangu (This is my prayer to You, my God) Unitendee jambo jipya (Do something new unto me) Hii ni sala yangu kwako, ee Baba yangu (This is my prayer unto you, my Father) Unifanyie jambo jipya (Do something new unto me) Nimesubiri kuvushwa, toka nilipo … Read more

Siki na Sifongo (Vinegar and Sponge) Lyrics – Rose Muhando

[Sung in Swahili] Refrain: Siki na sifongo (Vinegar and sponge) Aliteswa, imekwisha (He was persecuted, it is finished) (Repeat) Eloi, eloi, eloi (My God, my God, My God) Sabakhtani? imekwisha (Why have You forsaken me? It is finished) (Repeat) Ee Mungu wangu, mbona (Oh my God, why) x2 Umeniacha? (Have You forsaken me?) Ile kazi … Read more

Wanyamazishe (Silence Them) Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Refrain: Wazamazishe Bwana, wafunge midomo Yesu (Silence them Lord, Jesus close their mouths) Wazamazishe Bwana, wafunge midomo Yesu (Silence them Lord, Jesus close their mouths) Wapofushe macho yao wasinione (Blind their eyes to my presence) Wakae mbali nami, ah! wasinione (That they stay far from me, oh! that they may not see me) Kwa … Read more

You Are My Mountain Lyrics – Rose Muhando

Halleluyah, glory glory to God Everybody listen to me Glory of God is coming The presence of God is here Hallelujah, Glory of God Mountain, You're the mountain Jesus you are my mountain You are my friend Mountain, You're the mountain Jesus you are my mountain You are my friend Mlima wangu, wewe ni mlima … Read more

Kimbembe Lyrics – Rose Muhando

Kama umekaa upande wa maadui basi jipange Na kama umekula kuku na bia za wafilisti Utazitapika, maana hii Lazima ing'oke na mtu Walimnyoa nywele za usoni wakasema wameshamweza Wakamtuma gerezani wakadhani wameshammaliza Walisahau siri ya Samson ni nywele zake Walisahau kwamba nguvu za Samson ni nywele zake Zimeota tena, zimeota tena Nywele zimeota tena, zimeota … Read more

Simba Lyrics – Rose Muhando

Simba lololo, simba anaguruma Simba lelele, simba anaguruma Simba wa kike anaguruma leo, simba anaguruma Simba nyikani anaguruma wowo, simba anaguruma Simba porini anaguruma leo, simba anaguruma Mwambieni yule mbweha, nimerudi kutoka njangwani Nimesimama tena kwenye zamu yangu Wapeni habari wale umbwa Hii si bahati mbaya, mbingu zimeniamini Mungu amenidhibitisha Mpe salamu Yezebeli Nimerudi kutoka … Read more

Bado Lyrics – Rose Muhando

Niiii, niiini, niii? Niiii, niiini, niii? Je nataka kuwa na nini? Nauliza mnataka kuwa na nini? Wasomi mnataka kuwa na nini? Kanisa linataka kuwa na nini? Ndipo mjue yametimia Dunia hey, kama kulemewa Imelema sana Dunia hey, kama kuanguka Imeanguka sana Hivi mnataka kuwa na nini? Ndipo mjue yametimia Dunia inataka kuwa na nini? Ndipo … Read more

Masekete Lyrics – Rose Muhando

Baba nimekuja kwako Nagonga mlango unifungulie Baba nimekuja kwako Nagonga mlango unifungulie Bwana Yesu nimekuja kwako Nagonga mlango unifungulie Bwana Yesu nimekuja kwako Nagonga mlango unifungulie Masekete, ayee masekete Wachawi wachawi masekete, ayee masekete Masekete, ayee masekete Masekete, ayee masekete Yana miiba kwenye mikongo, ayee masekete Naogopa kuvunja shingo, ayee masekete Bwana Yesu njoo njoo, … Read more

Freedom Lyrics – Rose Muhando

Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Huru nimewekwa huru Huru mbali na dhambi Huru nimewekwa huru Nasema huru mbali na dhambi Mateso yamenifungukia Nimewekwa huru mbali na dhambi Na vifungo vimenifungukia Nimewekwa huru mbali na dhambi Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Haiyee, haiyee, haiyee usifiwe Haiyee, … Read more

Mapambio Lyrics – Rose Muhando

Ukipata mia mbili shukuru Mungu Hio ndio riziki yako Kaa chini utulie imba mapambio Kunywa maji ukalale mengine yatakutesa Wewe tulia mshukuru Mungu Hio ndio riziki yako Kaa chini utulie imba mapambio Kunywa maji ukalale mengine yatakutesa Yatakutoa roho Wacha kwenda mbio mbio Usishindane na huyo Wewe nenda pole pole, pole pole Maisha ni pole … Read more

Ni Kwa Wema Lyrics – Moses Nyaga Feat. Rose Muhando

Si rahisi si rahisi Kutoka nilikotoka si rahisi Ni vigumu, ni vigumu Mahali nilipofika ni vigumu Si rahisi si rahisi Kutoka nilikotoka si rahisi Ni vigumu, ni vigumu Kuwa hivi nilivyo ni vigumu Imegharimu mkono wa Bwana Kufika hapa nilipo si rahisi Imegharimu wema wa Mungu Kuwa hivi nilivyo ni vigumu Imegharimu mkono wa Bwana … Read more

Kiatu Kivue Lyrics – Annastacia Mukabwa Feat. Rose Muhando

Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivueMungu alinena naye Musa hicho kiatu kivueUlichotoka nacho kwa farao nakwambiaPahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue Musa hicho kiatu, Musa hicho kiatuNataka ninene nawe, nataka nikutumieNataka nikuinue, nataka nikubarikiWatu wangu waangamia, taifa langu la IsraeliWatu wangu wanasononeka, watu wangu wanatesekaNataka nikutumie wewe, ukaokoe taifa langu we Hata leo … Read more

Miamba Imepasuka Lyrics – Rose Muhando

Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana (Glory glory) Tuimbe eeh, wewe ni bwana Tuimbe eeh, wewe ni bwana Eee Mungu bingu na zikusifu Watu na wakuimbie Dunia na iseme wewe ni Bwana Wewe uliyemwangusha nyangumi Mungu wa wafilisti Mwisho wake wakajua … Read more

Namjua Lyrics – Rose Muhando Feat. Lydia Ndude

Namjua, Yesu namjua aah Nampenda Yesu nampenda Niacheni nyie Nahisi siwezi kuishi duniani Bila Yesu eeh, ooh mimi Kama kupenda ni dhambi Wacha nihukumiwe Kama kupenda ni hatia Wacha nishitakiwe Kama kupenda Yesu ni dhambi Wacha nichanganyikiwe eeeh Mapenzi, mapenzi Ah mapenzi kwa Yesu mapenzi Mapenzi yamejaa moyoni mapenzi Mapenzi yananichanganya mapenzi Kumpenda Yesu kumenichanganya … Read more

Napanda Kalvari Lyrics – Faraja Emanueli Feat. Rose Muhando

Napanda nasogea mimi napanda nasogea Yesu napanda nasogea Kalvari Japo ninachechemea Napanda nasogea mimi napanda nasogea Yesu napanda nasogea Kalvari Nakujia baraka zangu Napanda nasogea mimi napanda nasogea Yesu napanda nasogea Kalvari Japo majaribu ni mengi Napanda nasogea mimi napanda nasogea Yesu napanda nasogea Kalvari Nah nah nah nah nah Nakuja kwako Bwana Napanda nasogea … Read more

Amina Lyrics – Pendo Mihigo Feat. Rose Muhando

Amina, Amina aah Amina, Amina aah Amina Jehovah mponyaji wetu Amina, Amina aah Amina, Amina aah Amina Jehovah mponyaji wetu Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu Una majina mengi Baba Una majina mengi ooh Na majina yako yana maana kubwa kwetu Una majina … Read more

Amina Lyrics – Pendo Mihigo Feat. Rose Muhando

Amina, Amina aah Amina, Amina aah Amina Jehovah mponyaji wetu Amina, Amina aah Amina, Amina aah Amina Jehovah mponyaji wetu Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu Utukuzwe eeh, utukuzwe eeh Utukuzwe Jehovah Rapha mponyaji wetu Una majina mengi Baba Una majina mengi ooh Na majina yako yana maana kubwa kwetu Una majina … Read more

Chombo Chako Lyrics – Paulo Siria

Eeh Mungu nifanye chombo chako Palipo na giza niletee mwanga Eeh Mungu nifanye chombo chako Palipo na chuki nipande upendo wa agape Eeh Mungu nifanye chombo chako Palipo na huzuni niletee furaha yako Eeh Mungu nifanye chombo chako Palipo na ugomvi niletee amani yako Mungu anasema Mungu akuita mwenye kiburi Kuwapa wanyenyekevu neema Ndugu amini … Read more

Neno Lyrics – Fenny Kerubo Feat. Rose Muhando

Jawabu Studios Neno, neno, neno, neno, neno la Mungu Limetuchonga chonga Limetutengeneza, limetutengeneza Limetuchonga chonga Limetutengeneza, limetutengeneza Lainisha, lainisha Lainisha, lainisha eeh Hapo mwanzo palikuwa na neno Hapo mwanzo palikuwa na neno Nalo neno lilikuwa Mungu Nalo neno lilikuwa Mungu Wachawi wote, hawataweza Wachawi wote, hawataweza Mpinga Kristo hataweza Halipingiki, halipingiki Neno, neno, ni nyundo … Read more

Msinifatefate Lyrics – Stephen Kasolo

Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu Msinifuate fuate ninaye Mungu Msinifuate fuate mimi ninaye Mungu Msinifuate fuate ninaye Mungu Neema yangu si yako Furaha yangu si yako Usinifuate fuate, utaangamia Baraka yangu ni yangu Wala wewe si yako Usinifuate fuate, utaangamia Ukiniona nina magari Kesho nina majumba Usinifuate, utaangamia Ukifuata kwa maneno Ukifuata kwa husuda Si … Read more

Watangonja Sana Lyrics – Jose Drama feat. Rose Muhando

Intro: Rose Muhando Jose Kama ndrama kama Vindeo Watangoja sana Watangoja sana jamani(aiii) Chorus: Watangoja sana, watasubiri sana Watangoja sana, watasubiri sana Watangoja sana, watasubiri sana Neema yangu ni yangu tuuuu Baraka yangu ni yangu tu Neema yangu ni yangu tuuuu Baraka yangu ni yangu tu Hakuna wa kupinga aaah (aaah aah….) Verse 1: Cha … Read more

Unstoppable Lyrics – Mum Cherop Feat. Rose Muhando

I am unstoppable ooh I am invincible ooh I am unstoppable ooh I am invincible ooh I am unstoppable ooh I am invincible ooh Maono yangu hamtayazika Baraka zangu hamtazuia I am unstoppable ooh Alichoanzisha Bwana atatimiza Baraka zake kamwe hazina huzuni Anamuinua mnyonge kutoka mavumbini Kuumketisha pamoja na wafalme Maono yako hayatazuiliwa Hatima yako … Read more

Wanyamazishe Bwana Lyrics – Rose Muhando

Wanyamazishe bwana Milele wanyamaze Wafunge mpito kwa Yesu Na wakae kimya kimya Wanyamazishe bwana Wanyamaze Wafunge mpito kwa Yesu Na wakae kimya kabisa Wapofushe macho yao Wasinione wakae mbali nami Ah wasinione Kwa kuwa walitangaza msiba juu yangu Wala hawakutaka ipone nafsi yangu Wakafanya sherehe kupitia jina langu Waliona fahari kutangaza mauti yangu Wakachuma na … Read more

Yesu Karibu Kwangu Lyrics – Rose Muhando

Baba, baba Kikombe nimekinywea Hukumu nimechukua Mateso nimeyapokea Maumivu nimevumilia Kama ulivyosema mwenyewe Hakika nimekinywea Oooh Halleluyah Yesu, Yesu Yesu, Yesu Karibu kwangu Eh…eh…eh.. Karibu kwangu Ewe Yesu..Yesu Bwana Yesu…Yesu Nakuhitaji Karibu kwangu Mpenzi Yesu..Yesu Bwana Yesu…ewe Yesu Karibu kwangu Maumivu yangu, wayajua Yesu Kilio changu, kikufikie Yesu Nakuita karibu Chini ya mretemu Nimelala Yesu … Read more

Kenya Ulindwe Lyrics – Rose Muhando

Shukurani zangu kwa taifa la Kenya Viongozi wa Kenya Na wananchi wa Kenya Kwa kuokoa maisha yangu (Jawabu Studios) Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Uhuru, baba Uhuru We Uhuru, yabarikiwe malango yako Kenya Kenya, ulindwe Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Ulindwe, Kenya ulindwe Milele ulindwe Ifanikiwe mipaka yako Malango … Read more

Nibariki Lyrics – Rose Muhando

Nimechoka mateso Nimechoka tabu Baba mungu naja kwako Nibariki na mimi Kila siku taabu Kila siku kilio Machozi na huzuni baaba Wenzangu wananicheka Nipitapo kwenye taabu Baba naja kwako Nibariki na mimi Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu Nami nakuja kwako Nibariki na mimi Ikiwa ni laana Ikiwa ni mikosi Ilikwisha msalabani baaba Neno lako … Read more

Hossanah Lyrics – Rose Muhando feat. Eunice K

Aaaaaah uyelelelele Ni Hossanah Ulelele Ni Hossanah Uyelelelele Ni Hossanah Unatosha uyelelelele Ni Hossanah Ameniua wanyonge Uyelelelele Ni Hossanah Unaponya Uyelelelele Ni Hossanah Unaweza wewe Bwana Uyelelelele Ni Hossanah Unapona magonjwa Uyelelelele Ni Hossanah Aokoa Eeeee Bwana Wa Ushindi wewe Bwana Uyelelelele Ni Hossanah Amenena Ni Hossanah Uyelelelele Ni Hossanah Uyelelelele Ni Hossanah Uyelelelele Ni … Read more

Walionicheka Lyrics – Ringtone feat. Rose Muhando

Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Shida, taabu Ziliumiza moyo wangu Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Maumivu ya moyo Yaliinamisha nafsi yangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliona msiba wangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliutazama msiba wangu eh Sasa … Read more

Nyamaza Lyrics – Fenny Kerubo feat. Rose Muhando

Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza Takolera takolera kira Takolera takolera kira Kira kira, kira kira Kira kira, kira kira Vuta machozi tabasamu Jipe moyo, jipe moyo Jipe moyo, jipe moyo Usilie, usilie, usilie Vuta machozi tabasamu Atakolera takolera kira Atakolera takolera kira Kira kira, kira kira Kira kira, kira kira Usilie, usilie, … Read more

Agano Lyrics – Joyness Kileo feat. Rose Muhando

[Swahili] Nilipokutana na Yesu, Nilipokutana naye (When I encountered Jesus, When I encountered Him) Nilipokutana Baba, Nilipokutana naye (When I encountered Jesus, When I encountered Him) Tuliweka agano, kuwa mimi ni mwana wake (We placed a covenant, that I am His child) Yeye kwangu ni Baba, mimi wake ni mwana (He is my father, I … Read more

Moyo Wangu Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Verse 1 (Rose Solo): Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu Chorus: Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (Rose Solo) (Chorus) Rose Solo: Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Bwana moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (Chorus [X4]) … Read more

Nakaza Mwendo Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Verse 1: Nafurahia mateso yangu, nafurahia mateso yangu Ujapoharibika mwili huu, tapata mwingine kwa Baba Ujapoharibika mwili huu, tapata mwingine kwa Baba Chorus: Nakaza mwendo, nifike Mbinguni Nayakabidhi, maisha kwa Bwana Nauone, uzuri wa bwana x2 Taabu na matatizo, hakuna Kiu wala njaa, hakuna x2 Verse 2: Lakini mji ule taa yake, ni mwana … Read more

Yesu Nakupenda Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Chorus: Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda(My Lord Jesus I love you) x2 Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda (As you loved me first, I love you) Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda(Then again you gave up your life, I love you) Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda (As you loved … Read more

Nibebe Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Chorus: Nibebe nibebe nibebe nibebe Carry me, carry me, carry me, carry me Nibembeleze nibebe Comfort me, carry me Nichukue unibebe Take me, carry me Mikononi mwako niwe salama In your arms so I will be safe Verse 1: E mungu angalia kunena kwangu, O God hear the words of my mouth Na usikie … Read more

Nyota Ya Ajabu Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Verse 1: Ile nyota ya ajabu, yaonekana mashariki Imejaa ishara zote, za kuzaliwa mfalme Mamajuzi wako nyuma, kuifuata nyota ile walifika Yerusalemu, nao wakauliza (repeat) Yuko wapi yeye aliyezaliwa, mtawala wa wayahaudi ili tumsujudie Chorus: Mjini mwa Daudi, amezaliwa mkombozi Atakayewaokoa watu na dhambi zao Dunia shangilieni, amezaliwa messiah Haleluya haleluyah, sifa ni kwa … Read more

Kiatu Kivue Lyrics – Anastazia Mukabwa and Rose Muhando

[Swahili] Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue(God told Moses remove that shoe) Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue(God told Moses remove that shoe) Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia(The one you came with from Pharaoh) Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue(The place you are standing is holy) (x2) Musa hicho kiatu, Musa hicho … Read more

Tabu Zangu Lyrics – Annastacia Mukabwa And Rose Muhando

[Swahili] Haleluya naitazamia mbingu mpya na nchi mpya(Halelujah I look to the new heaven and earth)Huko nitapumzika milele (There I will rest forever) Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu(When my troubles are over, I will see my Lord)Akinikaribisha kule, karibu upumzike(When he welcomes me there, “welcome to the rest”)Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali … Read more

Utukuzwe Lyrics – Annastacia Mukabwa And Rose Muhando

[Swahili] Ee Mungu utukuzwe, milele na milele (Oh God be praised forevermore) Tena uinuliwe, katika mataifa yote (And be lifted up in all nations) Ee Mungu utukuzwe, milele na milele (Oh God be praised forevermore) Ee Mungu uinuliwe, milele na milele (Oh God be lifted forevermore) Tena uhimidiwe katika mataifa yote (And be worshiped in … Read more

Nalegea Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] {Nalegea, wacha nichakae nje (I am frail, let me be degenerate on the outside) Lakini utu wangu wa ndani wa fanywa upya} (But my inside man is renewed) x2 {Dhiki yangu ni nyepesi na ya muda (My suffering are light and finite) Yaani fani wa utukufu wa milele (But my coming glory is forever)} … Read more

Unashangaza Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Tu-ru tururu tu-ru (?) Matendo yako ya ajabu, yashangaza (Your works are wonderful, you’re amazing) Fadhili zako za milele Baba, zashangaza (Your mercy is forever, it’s amazing) Nikitazama ulivyoumba, ya shangaza (When I look at your creation, it’s amazing) Upendo wako kwangu mimi, yashangaza (Your love to me, is amazing) Miijuza na maajabu tele, … Read more

Sitanyamaza Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Matendo nitalia, Kwa sinani nitaomboleza Sodoma nitanung’unika, Mipakani nitashambulia Mijini wameniacha,Kila mara nitashambulia Maisha ya wanadamu, Yamenichosha…. Oh oh mimi Sitanyamaza, wala sitanyamaza Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana Mmefukiza uvumba, na kunitukana Kwa ajili ya haya mtajutia vitani mwenu … Read more

Shujaa Wa Msalaba Lyrics – Rose Muhando

[Swahili] Nainua macho yangu Nitazame mbinguni Moyo Wangu unasema niwe Mungu wangu Kilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lako Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu kwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wako Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu kileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lako Simba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu. Wacha nikwabudu … Read more