Backslide Lyrics – Ringtone Apoko Feat. Martha Mwaipaja

Kubackslide haiwezekani, haiwezekani Kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kurudi nyuma kwangu, haiwezekani Haiwezekani kweli haiwezekani Nimetoka mbali, inaenda mbali Shida nilizopitia ni kali Mungu wangu akakubali Eti nitoke chini nice juu Niache sukuma nile Kuku Toka kwenye strong tea na kulal Kuimba na kupendwa bila talanta Toka route 11 mpaka moti Kubackslide  Haiwezekani Aaaah aah … Read more

Omba Lyrics – Ringtone Feat. Christina Shusho

Omba, omba omba omba Omba, omba omba Omba, omba omba omba Omba, omba omba Mi nataka mimi nisafishe rada (Nisafishe rada) Nimeacha mbogi niko kwa fathela (Niko kwa fathela) Mambo ya dunia nimeacha mimi (Nimeacha mimi) Kuna yule anangoja nishindwe (Ooh nishindwe) Mbona unaomba nishindwe (Mimi nishindwe) Kwani wanitakia mabaya (Wewe mabaya) Ndugu omba, oooh … Read more

Kesho Yako Lyrics – Ringtone

Mungu ako kazini (ooh mama ooh)Kwa ajili yako (ooh mama ooh)Mungu ako kazini (ooh mama ooh)Anakushughulikia (ooh mama ooh) Kesho yako itang’ara kushinda leoKesho yako wee, itang’ara kushinda leoKesho yako itang’ara kushinda leoKesho yako wee, itang’ara kushinda leo Heshima inakuja, madharau yanaendaAibu inaisha, kuonewa kunakomaKucheka kunaanza, kulia kunaishaKuponywa kumeanza, magonjwa yanaendaUchawi umeshindwa, sasa wewe uko … Read more

Categories Uncategorized Tags

Natafuta Bibi Lyrics – Ringtone

Oa, oa, yeah yeah Ringtone, mwana Ringtone Natafuta bibi, nisaidie Natafuta bibi, mniombee Natafuta bibi, pastor nisaidie Natafuta bibi, mniombee Natafuta bibi anayempenda Mungu (Oooh) Hapendi fitina anapenda watu (Oooh) Anapenda kuomba anapenda kusifu (Oooh) Mwenye hekima na hofu (Oooh) Ananyenyekea, anapenda watu Anapenda watoto, anapenda Mungu Anatoa sadaka na fungu la kumi Yuko wapi? … Read more

Categories Uncategorized Tags

Walionicheka Lyrics – Ringtone feat. Rose Muhando

Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Shida, taabu Ziliumiza moyo wangu Masimango na maneno makali Yalikuwa ndio fungu langu Maumivu ya moyo Yaliinamisha nafsi yangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliona msiba wangu Asante Yesu Kwa kuwa uliiona taabu yangu Nakushukuru Kwa kuwa uliutazama msiba wangu eh Sasa … Read more

Zoea Mawe Lyrics – Ringtone

Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe Zoea kupigwa mawe, zoea kupigwa mawe Wewe ni mti mwenye matunda, zoea kupigwa mawe Ni wengi watakuchukia bila sababu we eeh eh Wengi watakuonea bila makosa we eeh Mambo mengi watasema ya kukuvunja moyo Ni kawaida kuonewa wivu wewe si wa … Read more

Categories Uncategorized Tags

Ipo Siku (Remix) Lyrics – Goodluck Gozbert

Haijalishi kama umetoka Mwanza (Nibarikiwe) Dar es salaam ama Nairobi Kenya(Nibarikiwe) Verse 1: (Goodluck Gozbert) Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai Maana ningeshakufaga Ni mengi nimeona Tena ya kuvunja moyo Labda ningeshamwacha Mungu Ooh Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini Ni kila siku, ninajipa moyo Chorus: … Read more

Wacha Iwe Lyrics – Ringtone

[Swahili] Ringtone: Kisha shida kwako muwezi pika Chunga shida kwako muwezi lala Hayo yote ushuhuda, Mungu anakutengenezea, mwisho ushinde, Mambo unapitia,yanakufanya uzimie, yanakufanya we ulie,unajiuliza ako wapi? huyu Mungu ,wamuita kila siku huyu Mungu,mi najua anasikia. huyu Mungu anakupenda wewe sana, Ila bado,mbingu usikia, tena bado mbingu itajibu, Ila bado mbingu uelewa, tena bado mbingu … Read more

Tenda Wema Lyrics – Ringtone

[Swahili] Tenda wema nenda zake wee Usisahau Mungu anaona Siku kuhukumu kuwa itafika Mayatima umesomesha sana Wenye shida umesaidia wote Wenye njaa umewapa chakula Nguo zako umepeana zote Hakuna anayetambua yale umetenda kwote Sasa naona inakupa worry nakuomba wewe usijali Aliyekuita anaona yote, tabariki ya siku zote Tenda wema nenda zako wee Usisahau Mungu anaona … Read more

This Year Lyrics – Ringtone

[In English & Swahili] Refrain: Naona this year eeh, nitabarikiwa (I foresee that this year I will be blessed) Naona this year aah, wewe utashinda (I foresee that this year, you shall win) (Repeat) Kama chakula we pakua hadi sahani ijae (If food, serve your plate until it is full) Kama ni party we furahia … Read more