Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics – Reuben Kigame and Sifa Voices

[Sung in Swahili – A Psalm] Bwana ni mchungaji wangu (The Lord is my Shepherd) Sitapungukiwa kitu (I shall not want) Hun’laza penye majani mabichi (He makes me lie down in green pastures) Hun’ongoza kwa maji matulivu (He leads me beside still waters) Hunihuisha nafsi yangu (He restores my soul) Hun’ongoza kwa njia za haki … Read more

Unyite na Guoko Lyrics – Reuben Kigame Feat. Gladys Jiveti

[A Hymn Sung in Gikuyu] Ũnyite na guoko, njikarage nawe (Hold me safe in your hands, keep me safe by Your side) Ndĩkuuĩire mũtĩ wakwa wa kwambĩrwo (As I bear my own cross for crucifying my flesh) Njikarage nawe, mathĩnainĩ mothe (Keep me safe with You, through life’s storms) Nĩgetha ũndeithie kũhotana (So that I … Read more

Ameyweishe (Don’t Fear) Lyrics – Reuben Kigame And Sifa Voices

Chorus: Ameiyweishe ameyweishe Mi Chehovah koboten; Toretin akoripin Nomenin eunyi nebo tai 1. Mwae kamuktaindet kole (Our God has said) Anendet yaindet ng’ung’ (I am the Lord your Creator) Angenin eng’kainet ng’ung’ (I know you by your name) Ago inye Ko ii nenyu (And you are mine) Chorus 2. Ye ibune beek chachang’ (When you … Read more

Inuka Kenya Lyrics – Reuben Kigame And Sifa Voices

Verse 1: Kuna Mkono wa nguvu sana umetushikilia Kama si Mungu wetu Tungeangamia Si kwa nguvu Za majeshi yetu Si ujasiri wetu Tusisahau Kenya Kule tulikotoka Chorus: Inua wimbo mpya Wimbo wa shukurani Kenya usisahau Alikokutoa Bwana Verse 2: Inuka Kenya uangaze Mwanga wa Mungu wako Kwa maana mataifa yote Yanakutazamia Wakumbuke maskini wote Yatima … Read more

Lipo Tumaini Lyrics – Reuben Kigame and Sifa Voices

[In Swahili] 1. Najivika jezi Wasia kudondoa Kama Ayubu wa Uzi Kwa walotiwa doa Umeshakatwa mizizi Kisiki lala dongoni Lipo tumaini Kwa mti ulokatwa Maana ukikatwa Utachipuka tena 2. Wamekupa kisogo Wa karibu wendani Kote ni zogozogo Kunguni kitandani Hima moyo piga konde Macho kazia mbinguni Lipo tumaini Kwa mti ulokatwa Maana ukikatwa Utachipuka tena … Read more

Nitainua Macho Yangu Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Nitainua macho yangu Nitazame milimani Msaada yangu watoka wapi? Ninajua ni kwake Bwana Nitainua macho yangu Nitazame milimani Msaada yangu watoka wapi _Ninajua ni kwake Bwana_ Anilindaye halali Ninajua hasinzii Nitokapo niingiapo Kweli najua ninajua yuko nami Nitainua macho yangu Nitazame milimani Msaada yangu watoka wapi? Ninajua ni kwake Bwana Yeye ni Bwana wa … Read more

Pokea Sifa Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Pokea sifa, bwana pokea sifa , jina lako litukuzwe, bwana pokea sifa Umeumba, vyote viishivyo bwana pokea sifa Dunia, jua na mwezi bwana pokea sifa Halleluyah Jina lako baba, jina lako litukuzwe Malaika wakuabudu, bwana pokea sifa Ulimwengu tunakuabudu bwana pokea sifa Bwana wetu Jina lako takatifu jina lako litukuzwe, bwana pokea sifa Enzi … Read more

Heri Siku Moja Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Ewe Mungu wa majeshi, ninapenda kukaa nawe, maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauku kubwa Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima. Moyo na mwili wangu Bwana viakulilia Mungu wangu, heri nikose viote Baba, lakini nikupate wewe Heri siku moja mbele zako, kuliko … Read more

Kile Unachopanda Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Watu wengi wanapanda Mbegu nyingi duniani Bila hata kuchunguza Ili wafahamu yakuwa Yale mavuno yatakayotoka Yote ni yao ooh kabisa x2 . Bwana Mungu Hubariki Wale wote humfwata Na kupanda mbegu nzuri Hao maisha yao ni mema Ukiwachunguza kwa makina Utaona aah baraka . Kile unachopanda Ndicho utakachovuna X2 Sababu Mungu wetu hadanganyiki x2 … Read more

Sweet Bunyore – Reuben Kigame

Song Lyrics: Life has been cruel to me And I have longed for a shoulder to lean on I have nursed much insomnia There's been nothing worth keepin' for a dream! I have seen the coldness of the city boys And the lies of the city girls O the pain of street children Perhaps it's … Read more

Ombi Langu Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Kama ayala anatamani Maji huko jangwani Roho yangu inatamani Uso wa Baba yangu; Natamani nifike sasa Niabudu mbele zako Natamani kukuishia Hili ni ombi langu. Nitainua macho yangu Nitazame milimani Msaada wangu watoka wapi? Kweli ni kwako Bwana. Wewe ni Mungu wangu Wewe ni Mwamba wangu Wewe mpenzi wangu Wewe Mwokozi wangu. Siku nyingi … Read more

Bwana ni Mchungaji Wangu Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Bwana ni mchungaji wangu, Sitapungukiwa kitu Hun’laza penye majani mabichi, Huniongoza kwa maji matulivu Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi, Nitakaa nyumbani mwa Bwana, Siku zote za maisha yangu Hunihuisha nafsi yangu, Hun’ongoza kwa njia za haki Nipitapo bondeni mwa mauti, Sitaogopa wewe u nami Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi, Nitakaa nyumbani mwa … Read more

Wastahili Bwana Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Wastahili Bwana. Wastahili Bwana. Ulikufa msalabani, niokolewe, wastahili Bwana Wastahili Bwana. Wastahili Bwana. Ulibeba mizigo yangu, sasa ni huru, Wastahili Bwana Uliacha utukufu wako. Ukaishi kati yetu kwa mapendo. Ulipatwa na simamzi ulinifia Wastahili Bwana Uliwekwa kaburini Bwana. Ukafufuka wewe Bwana wangu. Ulipaa juu mbinguni na watawala Nakusifu Yesu

Huniachi Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Nipitiapo maji mengi au moto huniachi Unalijua jina langu ewe bwana huniachi Unatengeneza njia hata mito kule jangwani Wewe ndiwe alpha na omega huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu … Read more

Enda Nasi Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Tunaomba uwepo wako uende nasi (We pray for your presence to go with us ) Ewe Bwana wa majeshi utusikie (Oh Lord of Hosts, listen to us) Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa (If you won’t go with us, we don’t want to leave) Hatuwezi pekee yetu, enda nasi ( We can’t by ourselves, … Read more

Baba Yetu Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Verse 1: Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako (Our Father in heaven we bring praises to you) Wewe hulinganishwi na yeyote duniani (You cannot be compared to anyone in the world) Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza (Heaven and earth praise you, the sun and the moon worship you) Wanyama wa … Read more

Sina Mungu Mwingine Lyrics – Reuben Kigame

[Swahili] Pre-Song: Oh Baba, mimi sina Mungu mwingine nimfahamuye (Oh Father, I don’t know any other God) Ni wewe pekee ujazaye Roho yangu (You alone fill my spirit) Verse 1: Sina Mungu mwingine, wa kutegemea (I don’t have any other God to depend on) Mbinguni na duniani, hapana mwingine (Heaven and earth, there is no … Read more

Usiku Mtakatifu – Reuben Kigame

[Swahili] Usiku mtakatifu, nyota zameremermeta (Oh Holy night, the stars are brightly shining) Ni usiku wa kuzawa mwokozi (It is the night of the dear Savior’s birth) Dunia yote, kwa dhambi ilizama (Long lay the world in sin and error pining) Hadi Yesu kaja kutuokoa (Till he appeared and the soul felt its worth) Tunaiingia … Read more