Kijito Cha Utakaso Lyrics – Diana Sarakikya

YouTube video [Swahili] Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu, Bwana anao uwezo kunipa wokovu Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso Viumbe vipya naona damu ina nguvu, Imeharibu uovu ulionidhulumu Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso Ni neema ya ajabu kupakwa na damu … Read more