Mgambo (Soldier) Lyrics – Goodluck Gozbert

[Swahili] Refrain: Mungu amenipa kutembea, hatua mbele (God has given me a step ahead) Eh kama mugambo, hatua mbele (Like a ranger, a step forward) (Repeat) Sadaka gani mimi nitoe? (What offering should I give) Ona favour amenipa favour (Oh, look at the favor, He has granted me favor) Cheko gani mimi nicheke? (What laughter … Read more

Mugambo Lyrics – Goodluck Gozbert Feat. Bony Mwaitege

Mungu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele Yesu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele Mungu amenipa kutembea, hatua mbele Eh kama mugambo, hatua mbele Yesu amenipa kutembea, hatua mbele Kama kama mugambo, hatua mbele Sadaka gani mimi nitoe Ah ona favour amenipa favour Cheko gani mimi nicheke? Ona happy … Read more

Watakuheshimu Lyrics – Aniset Butati Feat. Bony Mwaitege

Mpe simu yangu Butati Pengine kuna kitu ataongea Natafuta faraja ya moyo wangu Maumivu makali yananitese Natafuta faraja ya moyo wangu Dharau zimezidi naumia Sababu ya umaskini nadharauliwa Mchumba wangu kapewa rafiki yangu Aliyesema umasikini haufai Namuunga mkono yamenitokea Nateseka moyo wangu kwa dharau Ndio maana napiga simu Kigoma Natafuta faraja kwa mtumishi wa Mungu … Read more

Safari Bado Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Mfalme Belshazzar maandiko yanamsimulia Alilewa madaraka akamkosea Mungu Alipopata ufalme alichanganyikiwa Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu. Mfalme Belshazzar Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani Na anayeandika alikuwa haonekani Maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya Mene Mene Tekeli na Peresin Maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani Nao umeonekana umepungua Ufalme wako wamegawanywa wabedi na … Read more

Sisi Sote Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Sisi sote ni kazi ya mikono yako Tumeumbwa kwa mfano wako Sisi sote ni kazi ya mikono yako Tumeumbwa kwa mfano wako Mungu usifiwe (Mungu usifiwe) Mungu usifiwe (Mungu usifiwe) Halleluya (Mungu usifiwe) Usifiwe Seba Abujiwe … Song by Bony Mwaitege

Utanitambuaje Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Utanitambuaje kama nimeokoka? Utanitambuaje kama namweshimu Mungu? Nasema, utajuaje kama tuko pamoja Katika safari ndefu ya kwenda mbiguni eeh? Utanitambuaje ndugu yangu nakuuliza niambie aiyee Huwezi kunitambua kama nimeokoka, kwa kunitazama sura yangu Huwezi kunitambua kama nimeokoka kwa kunitazama maumbile yangu Bwana asifiwe isiwe sababu kukufanya uamini kuwa nimeokoka Japo mali yangu naweza kutamka … Read more

Mama ni Mama Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka ooh Mama Imeandikwa waheshimu wazazi wako siku zako zipate ongezeka Imeandikwa waheshimu baba na mama vijana wengi waheshimu baba peke yake Kwa kuwa mama ni mpole wengi wanamdharau Unatenda dhambi ukimdharau mama ni mama huyo Ni mama yako usimpigie Ngumi … Read more

Ndiyo Bwana Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba (Heshima na mamlaka ni vyako) Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Wastahili utukufu Jehovah Rapha Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba (Unatenda maajabu Jehovah) Ndiyo ndiyo ndiyo Bwana Tunakurudishia utukufu wako Baba (Sisi tumemuombea uliyemponya niwewe, Hatugusi utukufu … Read more

Mtoto Wa Mwenzio Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Yesu alisema wacheni watoto waje kwangu Maana ufalme wa mbinguni ni wao msiwazuie Alionyesha upendo kwa watoto Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako Endesha gari polepole usije kugonga mtoto Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako Endesha pikipiki polepole hapo mbele kuna watoto Mtoto wa mwenzio muone kama mtoto wako Aah Mtoto wa … Read more

Yesu Yupo Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Jamani Yesu Yupo Ni kweli Yesu Yupo Ni kweli Yesu Yupo Tunamtangaza yupo Tumeona kazi zake x3 Nilikuwa ninasimuliwa miujiza ya Yesu Nimeona kwa macho yangu nimejua yupo Nilikuwa ninasimuliwa kwamba Yesu anaponya Nimeona kwa macho yangu nimejua Yupo Ona wengi majambazi Yesu kawabadilisha Nimeona kwa macho yangu nimejua yupo Waliokuwa machangundoa sasa hivi … Read more

Soma Mwanangu Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Mshike sana elimu usimwache aende zake, ni maneno ya mungu kutoka kwenye vitabu vitakatifu , mimi enzi zangu maneno hayo si kuyajua, nilifanya mchezo sikuweka uzito kwenye elimu , hivyo, nilishindwa kusoma, ndio maana namuomba mungu mtoto wangu usome , hivyo mimi baba yako nilishindwa kusoma , ndio maana namuomba mungu mtoto wangu usome, … Read more

Nangojea Mke Mwema Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Hapo mwanzo Mungu alimwumba Adamu Bustani ya edeni aitunze Baadae Mungu aliona sio vyema Adamu awe peke yake akampa mke mwema Hapo mwanzo oooh Mke mweema anatoka kwa bwana Nimemwomba Mungu nangojea Mke mweema anatoka kwa bwana Nimemwomba Mungu nangojea mke mwema aah Majukumu yananizidi jamani nachoka Kazi za ndani haziishi mke sina Nimeshapiga … Read more

Imba Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Mungu anaketi katikati ya sifa Tukiimba Mungu anashuka Mungu anaketi katikati ya sifa Tukiimba Mungu anashuka eeh Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka kukuletea Majibu ya tatizo lako wee Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa Imba imba imba Ukiimba Mungu anashuka … Read more

Njoo Ufanyiwe Maombi Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] Njoo njoo njoo ooh Njoo kaka njoo baba, njoo mama njoo oh Tatizo lako umezunguka nalo sana Sehemu nyingi umezunguka Kwa Yesu sasa njooo (Njoo mama) Njoo ufanyiwe maombi (Njoo uombewe) Njoo ufanyiwe maombezi mama Njoo ufanyiwe maombi (kwa jina la Yesu kristo) Njoo ufanyiwe maombezi baba Ukiombewa tatizo lako kidogo (kidogo) Ukiombewa tatizo … Read more

Tumekuja Kukuchukua Lyrics – Bony Mwaitege

[Swahili] ieyee yaah hayaa yeeh Tumekuja kukuchukua ieyee yaah hayaa yeeh Tumekuja kukuchukua Bibi harusi (Tumekuja kukuchukua) Bibi harusi twende mama (Tumekuja kukuchukua) Bibi harusi (Tumekuja kukuchukua) Wazazi wako tumeelewana nao (Tumekuja kukuchukua) Wameturuhusu tuondoke nawe (Tumekuja kukuchukua) Tusingeweza kukuchukua bila ruhusa ya wazazi wako Ndio maana tulisafiri kwenda kuwaomba wazazi wako Ili turuhusiwe, zawadi … Read more